|
picha
nne za juu zikimuonyesha M 2 tha P akiwa na katika mazingira tofauti
katika msiba, tatu za juu zikimuenyesha akimuaga rafiki yake wa karibu
Albert Mangwea ambaye kwa mara ya mwisho walikuwa pamoja kabla ya
kufikwa na umauti na picha ya mwisho M 2 tha P akiwa na Dida wakiliwazana na kutokana na majonzi ya msiba huo mkubwa |
|
Wema Sepetu nae alikuwepo Morogoro kuusindikiza mwili wa Ngwea kama anavyoonekana kwenye picha za hapo juu |
|
Mzee wa skoooongaaaah nae alikuwepo (Allan,mtangazaji wa EATV) |
|
Wema Sepetu akiteta jambo |
|
Mwanadada akiwa amezimia kwa mstuko |
|
Afande Sele akitoa nasaha zake |
HATIMAYE NGWEA AZIKWA RASMI
Picha mbalimbali zikionyesha tukio la mazishi ya Ngwea katika makaburi
ya kihonda yaliyopo katika kituo maarufu eneo la kihonda Kanisani. R.I.P
NGWEA
0 comments :
Post a Comment