Msanii Saida Kaloli afariki dunia baada ya kuzama kwenye ziwa victoria akiwa ndani ya Boti,Taarifa zinasema kwamba kuna watu wengine nao pia wamefariki ambao walikuwa kwenye boti hiyo.
Saida Karoli akiwa katika zama za uhai wake,
Saida Karoli akiwa katika zama za uhai wake,
Msanii huyu inasemekana amefikwa na mauti baada ya boti aliyokuwa akisafiri nayo toka Kisiwa cha Goziba kuzama baada ya kukumbwa na dhoruba na kuzama Ziwa Victoria..
source: bongoclants
0 comments :
Post a Comment