

Maduka yote katika mji huo wa West Acec yamepigwa marufuku kuuza nguo ambazo zipo kinyume na maadili ya kiislam na endapo mwenye duka atakaidi amri hiyo basi atanyang'anywa lesini yake ya biashara.
Sheria hii imetungwa kwa ajili ya wanawake wa kiislam tu na kwa wale ambao sio waislam haiwahusu na pia wameombwa kutowagubuzi waislam wa eneo hilo.Zoezi hili limeanza kuingia kwenye utendaji kuanzia alhamisi ya mwezi wa sita ya tarehe 13 mwaka 2013
0 comments :
Post a Comment