Kocha mkuu wa Simba SC, Dylan Kerr anaendelea kusuka kikosi chake kuelekea msimu wa 2015/2016 wa ligi kuu soka Tanzania bara.
Kwasasa Simba imepiga kambi mjini Zanzibar na tayari imecheza mechi mbili za kirafiki.
Jana usiku, Simba imefanikiwa kuifunga klabu ya Black Sailor ya Zanzibar magoli 4 -0 katika mchezo wake wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Aman Zanzibar.
0 comments :
Post a Comment