Kesi namba 128 inayomkabili
Sheikh PONDA ISSA PONDA
Imeakhirishwa mpaka tarekh
21/08/2015 baada ya sheikh
Kutoa ushahidi (utetezi)wake kwa ufasaha mkubwa akiyatolea ufafanuzi makosa
Aliyoshtakiwa nayo
**************************
Kesi inayowakabili kina sheikh msellem ally na amir
Faridi na viongozi wengine
Wa jumuia ya uamsho
Ilisomwa siku ya alkhamisi
Na kuakhirishwa mpaka
Tarekhe 28/08/2015 itakaposomwa tena
**************************
Na kesi inayowakabili wale
Waislam wa kilombero wamegawanywa katika makundi mawili
Kundi la kwanza litapelekwa
Mahakamani tarekhe 14 na kundi la pili litapelekwa tarekhe 24 takriban.
0 comments :
Post a Comment