Mmoja ya waamuzi akiwa makini katika kuhesabu pointi katika mashindano hayo ya Judo Afrika Mashariki yaliyofanyika Zanzibar hapo jana.
Godfrey Edward mchezaji wa judo wa hapa Tanzania akimfunza adabu mchezaji kutoka Burundi anaeitwa Alfani Mkurunzinza katika mchezo wa fainali za Judo ndani ya Afrika Mashariki.
Tanzania yatisha tena katika michezo ya Judo ambayo imefanyika hapo Zanzibar kwani Kwa ujumla Tanzania ndie ambae ameibuka kidedea katika mashindano hayo na hivyo wachezaji wao takribani wanne watapata nafasi ya kushiriki mashindano ya common wealth ambayo yatafanyika hivi punde
0 comments :
Post a Comment