-->

NYASI MPYA NDANI YA OLD TRAFORD


Baada ya malalamiko mbalimbali kutoka kwa makocha na wachezaji hatimae uwanja wa Old Traford umefanyiwa maboresho ya kuwa na muonekano mpya maana timu pinzani zimekuwa zikilalamikia uwanja huo mara kwa mara kama alivyonukuliwa Arsena Wenger 2010 pale walipofungwa 1-0
"The pitch was very poor in my opinion and both sides suffered because of it,' said Wenger at the time. 'The pitch is not good enough to play good football.'
hivyo wiki hii ambayo Manchester united  itawakaribisha Norwich city katika uwanja wa Old Traford ambao umefanyiwa maborsho katika nyasi..itakuwa ni mechi kali ambayo itashuhudiwa juu ya nyasi hizo zenye maboresho ya hali ya juu
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment