-->

KITUKO KWENYE UVAAJI

Kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni najua kwa mara ya kwanza ukivitizama viatu hivi huwezi pata maana ila m,paka uvitazame kwa mara ya pili au ya tatu ndo ujue kwamba hao sio panya bali ni vitu vyenye umbo la panya.Hofu yangu ni pale utakapopita karibu na paka sidhani kama yeye atafikiri umevaa viatu bali huenda akahisi ni panya na akaamua kuvamia miguu yako.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment