Polisi wa
kizungu wa South Carolina nchini Marekani, jana Jumanne alishtakiwa kwa
kosa la mauaji, saa chache baada ya maofisa kutazama video ya
kushangaza inayomuonesha akimpiga risasi mgongoni na kumuua mwanaume
mwenye asili ya Afrika aliyekuwa akikimbia.
0 comments :
Post a Comment