Mwenyekiti
wa The Islamic Foundation Ndugu Aref Nahdi akiwa na viongozi pamoja na
watendaji wa TIF MEDIA katika semina ya uanzishwaji wa Gazeti la Imaan
ambalo linatarajiwa kuanza kutolewa Siku ya Jumatatu ijayo sambamba na
Tarehe 24 -Jumada Al-Akhira 1436H sawa na Tarehe 13-April -2015 G.
Gazeti Imaan ni gazeti la Kiislam kwa lugha ya Kiswahili ambalo linategemewa kurushwa kila Jumatatu.
"TULIAHIDI ,NA SASA TUMETIMIZA,NA ALLAH NI SHAHIDI."
Gazeti Imaan ni gazeti la Kiislam kwa lugha ya Kiswahili ambalo linategemewa kurushwa kila Jumatatu.
"TULIAHIDI ,NA SASA TUMETIMIZA,NA ALLAH NI SHAHIDI."
0 comments :
Post a Comment