
Timu ya Manchester City imepoteza mchezo wake wa jana usiku mbele ya Crystal palace kwa magoli 2 - 1 .
1 - 0 Glenn Murray alifunga goli la kwanza kwa washindi dakika ya 34 ya mchezo tu.
2 - 0 Jason Puncheon alifanya ubao usomeke 2 - 0 mapema kipindi cha pili kwa goli la mpira wa adhabu uliokwenda moja kwa moja nyavuni.
2 - 1 Sergio Aguero aliwapatia City goli la kufutia machozi dakika ya 77 kwa msaada wa kiungo Yaya Toure
0 comments :
Post a Comment