Ndugu bado
wanafuatilia kujua ukweli kwamba labda polisi walisababisha mtafaruku
huo na kupelekea watu kupoteza maisha siku hiyo.Tarehe 15/04/1989 idadi
ya watu 96 walifariki dunia wakiwepo watoto,wanawake na wanaume
waliokwenda kushuhudia nusu fainali ya kombe la FA kati ya Liverpool na
Nottingham Forest katika mji wa Sheffield siku ya Jumatano ndani ya
Uwanja wa Hillsborough.
Ndugu wa
waliopatwa na tukio hili wakishirikiana na Liverpool bado wanaendelea
kutafuta ukweli japo kuna tetesi zinasema kuwa polisi ndio
waliosababisha mtafaruku huo na kupelekea watu kupoteza maisha.Liverpool
kila mwaka katika tarehe hii hufanya kumbu kumbu ya kuwakumbuka
mashabiki hao waliopoteza maisha.
About Unknown
0 comments :
Post a Comment