
Hapo juu ni kipande cha ukurasa wa twitter wenye account ya TANESCO ambayo inaonyesha maneno machafu dhidi ya wateja ambao wamekuwa wakitoa malalamiko yao kuhusu ukatikaji ovyo wa umeme.
Blog hii inatoa ushauri kwa viongozi wa TANESCO kuthamini umuhimu wa wateja wao kwa kuwapatia huduma bora na pia kutoa ufafanuzi wa kina wa matatizo yanayopelekea kukatika kw umeme ovyo ili kuendeleza mahusiano mazuri yaliyopo kati ya TANESCO na wateja wao.
Bonyeza https://mobile.twitter.com/TANESCO_/status/307431322471776258 ili kuiona post hiyo
0 comments :
Post a Comment