Gazeti maalufu nchini Italy liitwalo La Gazzeta dello Sport limenukuliwa likimwaga sifa kede kede kwa mchezaji Mbwana Samata wa Taifa Staz ambae alikuwa mwiba katika mechi yao dhidi ya Morocco.Kwa mujibu wa gazeti hilo Mbwana Samata ni mchezaji kijana ambae ni bora kwa Afrika nzima.
Hapo chini ni kipande cha sehemu ya gazeti hilo likiwa na picha ya Samata pamoja na wachezaji wenzie.
Maneno yanayoonekana hapo juu ambayo yanasomeka kama LA MEGLIO GIOVENTU DEL CONTINENTE NERO yanamaana ya kwamba mchezaji bora kijana wa bara la Afrika(the best youth of the black continent).Pia katika mitandao ya kijamii Mbwana Samata amekuwa gumzo kama vile unavyoona katika tweet ambayo nimeiweka hapo chini ambayo inaonyesha kupitia mtandao wa Twitter

#Samata, due gol al Marocco: in #Tanzania è nata una stella? Sì, ma non è la sola. @pizzigo domani su #ET #gdsMbwana Samata ni mchezaji ambae alishinda goli nyingi katika timu ya TP Mazembe kwa msimu uliopita na ni miongoni mwa wachezaji walioweka rekodi ya juu katika kuuzwa hapa nchini Tanzania akitokea Simba kuelekea TP Mazembe kwa ada ya milioni 150.
— Extratime Gazzetta (@ETGazzetta) March 25, 2013
0 comments :
Post a Comment