-->

MWANAMKE SHUJAA KATIKA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI

Kwa hakika kila mwanamke leo hii duniani anapaswa kupewa pongezi kwa kuwa yeye ndio mjenzi wa maadili,familia,uchumi,siasa pamoja na wanaodumisha mafgunzo ya dini katika nyanja mbali mbali.Pia kila mwanamke anatakiwa kupewa shukrani kwa kuwa mzazi na mlezi wa kila jamii inayopatikana katika dunia hii.Hivyo nami natumia fursa hii kumpongeza mama yangu kwa malezi bora aliyonipatia mpaka sasa
HONGERA SANA MAMA YANGU KWA KUNIPA MALEZI BORA.........!!
Ni jukumu lako nawe kumpongeza mama yako kwa malezi aliyokupatia....Kwa kuwa leo ni sikukuu ya wanawake hivyo hapa tunae mwanamke shujaa katika jamii ya Kenya
Peris Tobiko ni mama wa kwanza kuwahi kuchaguliwa kama mbunge wa jamii ya wamasaai wa Kajiado Mashariki nchini Kenya. Mama Peris alikabiliana vikali na unyanyapaa pamoja na ubaguzi dhidi ya wanawake katika jamii yake na hatimaye kuibuka mshindi

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment