-->

DUKA JIPYA LA NGUO ZA KINAMAMA LAFUNGULIWA MKOANI MOROGORO

Duka hilo lenye viwalo vipya na vya kisasa lipo madaraka road kabla hujafika keepleft cha sua nyumba inayofuata baada ya upendo dispensary nyuma ya toplife hotel! mwasha!
Hakuna haja ya kuznguka mji mzima na baadala yake ukifika ZIDDY STYLIC BOUTIQUE
 
DUKA LINA VITU VIPYA AMBAVYO HAVIJAPATA KUPATIKANA KWENYE MADUKA MENGINE YALIYOPO MJINI MOROGORO
KARIBU SANA ILI UJIPATIE VAZI UNALOLIPENDA
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment