WEZI WAFUKUA MAITI NA KUMUIBIA NGUO ALIZOVISHWA
Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa.CHANZO ITV.
0 comments :
Post a Comment