-->

WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAZALIWA TANZANIA

Watoto hao ambao walizaliwa na mdada aliyeafahamika kwa jina la Grace Joel kutoka mkoani Mbeya alifanikiwa kujifungua salama na kupata watoto hao ambao kwa sasa wapo Muhimbili kwenye chumba maalumu watafanyiwa upasuaji nchini India.Watoto hao ambao wanajisaidia kwa njia moja wamungana maeneo ya kiuno.Tunamuomba Mungu upasuaji huo wa kuwatenganisha watoto hao ufanyike vizuri na salama
source:mwananchi

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment