Katika maeneo ya wilaya West Acec nchini Indonesia mavazi ambayo yako kinyume na sheria za uislam yamepigwa marufuku kuvaliwa katika maeneo hayo na maaskari wamekuwa wakisisimamia zoezi kwa ukamilifu kwa kuwakamata wanawake waliovunja sheria hiyo na kuwapa ushauri kisha kuwapa nguo ndefu za kujistiri na kuwaamuru wabadilshe nguo hizo ambazo ziko kinyume na maadili.
Maduka yote katika mji huo wa West Acec yamepigwa marufuku kuuza nguo ambazo zipo kinyume na maadili ya kiislam na endapo mwenye duka atakaidi amri hiyo basi atanyang'anywa lesini yake ya biashara.
Sheria hii imetungwa kwa ajili ya wanawake wa kiislam tu na kwa wale ambao sio waislam haiwahusu na pia wameombwa kutowagubuzi waislam wa eneo hilo.Zoezi hili limeanza kuingia kwenye utendaji kuanzia alhamisi ya mwezi wa sita ya tarehe 13 mwaka 2013

0 comments :
Post a Comment