Baada ya kutoka kwa rasimu mpya ya katiba na kuonekana kwamba mahakama ya kadhi imependekezwa na tume ya Warioba kutokuwepo kwenye katiba kwani hata Zanzibar kuna mahakama ya kadhi ila ipo nje ya katiba hivyo tume imependekeza swala hilo kubaki kwenye mambo ya sheria yaani liwe chini ya serikali kuu.
"Mwanasheria maarufu nchini Profesa Abdallah Safari alionyesha kupingana na msimamo wa wajumbe wa Tume hiyo na kuhusu kadhi na kusisitiza kuwa hapakuwa na haja ya kuzungusha maneno katika swala hilo"
Aidha katika kujibu hoja ya jopo la wajumbe wa tume ya kufananisha uwepo wa mahakama ya kadhi Zanziba kwa kutoa mfano mbona Kenya ibara ya 8 ya katiba ya Kenya inayaeleza wazi wazi kuwapo kwa mahakama hiyo katika nchi yenye jamii chache ya waislam kulinganisha na Tanzania(ALHUDA.Juni 6/213
0 comments :
Post a Comment