HII NI MIONGONI MWA KARATASI YA MAJIBU INAYOSADIKIKA KUWA YA WAHITIMU WA FORM FOUR
Blog hii haisemi kwamba karatasi hii moja kwa moja kwamba ni kweli hiki ni kipande cha majibu ya watahiniwa ila kipande hiki kimekuwa kikisambaa katika mitandao mbali mbali ya kijamii na mimi nikaona bora nikuwekee ili pia nawe ukione.
kipande hichi kimechukuliwa katika jamii forum....Kama hii ndio ilikuwa hali ya wanafunzi wetu basi walimu,wazazi pamoja na serikali wanajukumu kubwa la kutafuta njia za ufumbuzi wa tatizo hili kubwa linaloambatana na lugha ya kingereza ambayo ndio lugha ya kufundishia katika ngazi ya sekondari na elimu ya juu ili kulizasha watoto ambao watakuwa na fikra pevu na wazuri katika lugha kiingereza ambayo ndio muhimili kwa masomo yake yote.
Pia blog hii inatoa nasaha kwa walimu kuwajengea nidhamu watoto huko mashuleni nakuwaeleza athari za kupotea kwa nidhamu katika ufaulu wao ili kuweza kuepusha mambo ya ajabu ambayo yamekuwa yakijitokeza hivi karibuni kma vile kuchora zombi kwenye mitihani
Pia na wazazi wanashauriwa na blog hii kuwa wanatoa nasaha za mara kwa mara kwa watoto kuhusu mienendo yao ya kitabia pamoja na elimu ili kuweza kupata taifa lenye kujijenga kupitia vizazi vyake vyenyewe ambavyo vimeandaliwa kimaadili na kiujenzi wa umma.
Horse Jewelry
0 comments :
Post a Comment