MAN CITY YAMBARARUA CHELSEA GOLI MBILI
Tofauti na ilivyodhaniwa na mashabiki wengi wa soka Duniani kwamba Manchester city itapoteza mchezo wake dhidi ya Chelsea the blues lakini hali ilikuwa ndivyo sivyo kwani Yaya Toure na Tevez walitosha kuwapelekea msiba mashabiki wa the blues kwa kuwachabanga mabao mawili
huyu ndio mshambuliaji wa man city ambae ameshindwa kuwika katika mechi ya leo hii almaarufu kama Aguero.
.
huyo ndo Carlos Tevez ambae aliwapatia bao la bili Manchester city
0 comments :
Post a Comment