SWANSEA CITY WAWA MABINGWA WAPYA CAPITAL CUP
Hatimaye timu ya Swansea city yachukua kombe la ligi ambalo mwanzo lilikuwa linafahamika kama Carling cup sasa likiitwa Capital cup.Leo limebebwa rasmi na Swansea city timu ambayo ilikaa na ukame wa makombe makubwa kwa muda wa miaka mia.
Kitu ch kustaajbisha ni ushindi wao wao wa bao 5 kwa 0dhidi ya Bradford city,ushundi huu umetia rekodi mpya katika fainali hizo kwani rekodi ya magoli mengi ilikuwa inashikiliwa na Manchester united ambako ilikuwa ya magoli 4 kwa 0 dhidi ya Wigan mwaka 1996.
huo ndio uwanja wa Wembley ambao umetumika katika fainali za leo hii,hali ambayo imewafanya Swansea city kupata nafasi ya kucheza Europa hapo mwakani.
Hao ndio mashabiki wa Swansea city wakishangilia ushindi wa mabao matano katika fainali za Capital One Cup
Kwa hakika ni furaha ilioje kwa timu ya Swansea city ni faraja ya aina yake kuweza kunyakua kombe hilo la Capital One Cup
0 comments :
Post a Comment