
Kati ya mwaka 1985 hadi 1988, Magufuli alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya masomo yake ya shahada ya kwanza ya ualimu wa kemia na hisabati. Waziri huyo wa Ujenzi alijipatia shahada yake ya uzamili kwenye kemia kupitia Vyuo Vikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Salford cha Uingereza kati ya mwaka 1991 na 1994
Wadau mbali mbali wa siasa wametania kuhusu ujio wa first lady mpya ambaye naye ni mwalimu
Ngoja mke wangu aende chuo cha ualimu labda na mimi nitakuwa Raisi. Kumbe Janet nae mwalimu Mbuyuni Primary?
— Albert Gasper Msando (@AlbertMsando) July 12, 2015
0 comments :
Post a Comment