
Mchakato umemalizika salama,CCM ikiwa na Umoja na mshikamano,Nampongeza sana kaka yangu J.P.Magufuli kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi mkuu Mwaka huu.Ninaimani kubwa kuwa wakati wa Mabadiliko kwa Vitendo umefika na Taifa letu litapiga hatua kubwa zaidi ya hii kwenye Maendeleo.
Naomba tuendelee kushirikiana,kupigania Uchumi wa Taifa letu ufike kipato cha kati.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
#UMOJANIUSHINDI
Kidumu Chama cha Mapinduzi
#UMOJANIUSHINDI

0 comments :
Post a Comment