kauli ya waislm dhidi kushiriki au kutoshiriki iliyotolewa na jopo la mashee jana,limekuwa gumzo katika mitandao,blogs,forums,mitaani,vijiweni na hata maskani..shee issa muhammed issa ambae alitoa ushaidi wa wadhi kuhusu umuhimu wa kipengele cha dini katika sensa akitaja wawekezaji kwamba huitaji kuanzisha miradi fulani kulingana kufahamu kam eneo hilolitahitajia sana huo mradi au laa..serikali iliyosimamia hoja kutoingiza kipengele cha dini kwenye itakayofanyika mwezi wa nane tarehe 26 kw vigezo kwamba kipengele cha dini kiliwekwa na wakoloni kwa lengo baya,hoja imeonekana si ya msingi kwani hata elimu iliwekwa lengo baya ila leo ni nyenzo muhimu kwetu hivyo kama kipengele cha dini kiliwekwa na wkoloni kwa lengo baya basin sisi tunatakiwa kukirudisha kwa lengo zuri......shee issa ponda nae alisema waislam wengi hawatashiriki katika swensa hiyi na kutakuwa na maandamano ya amani Tanzania nzima siku kuhesabu sensa,jopo hilo la wasomi wa kiislam walibainisha wazi kuhusu taarifa za uwongo zilizotangazwa na tbc,pamoja nakuwekwa kwenye kalenda ya waziri mkuu,pamoja na ofisi za mabalozi nchini tanzania kwamba waislam ni wachache kuliko wakristu..kisomi ni makosa kuandika chochote kama huna tafiti nacho,NJIA PEKEE YA KUJUA IDADI YA WATU NI KUWAHESABU,ni aibu kubwa shughuli za kiserikali pasina utafiti na kisha kutangazwa katika hadhara kupitia chombo chake..MSIMAMO WA WAISLM BADO NI ULE WA KUTOSHIRIKI SENSA MPAKA MAHITAJIO YAO YATIMIZWE..picha ya hapo chini ni shekh Issa Ponda akiwasilisha jambo
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment