miongoni mwa kivutio kikubwa mkoani morogoro,ni milima ya uluguru ambayo imekuwa chachu ya watalii na watu wengine kutoka sehemu mbalimbali kutembelea mkoa huu wa morogoro.kupitia utalii watu hujifunza maengi katika mlima huu kwani unawanyama na wadudu wenye kupendeza ambao sehemu nyingi za Tanzania na Dunia kwa ujumla havipatikani kwa mfano uwepo wa kinyonga mwenye pembe katikati..kesho tarehe 29/06/2012 wanfunzi wa muslim university of morogoro,watakwenda kutalii katik huu pamoja na kujifunza aina za pamoja jinsi yalivyo kw
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment