-->

SWALI ALILOULIZWA JULIUS MTATIRO LAWA GUMZO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

COPY AND PASTE, MNISAIDIE KUMJIBU
Mhe. Mtatiro . Baada Ya Kutangazwa Mh. Magufuli Kupeperusha Bendera Ya CCM, Police Walielekezwa Kulinda Makazi Yake Huko Chato Na Dar, Je, Watia nia Wengine Watakapopendekezwa Na Vyama Vyao Vya Upinzan Kupeperusha Bendera Zao Nao Watalindwa Sawa Kama Ilivyo Kwa Magufuli? Je, ni sheria gani inayotoa mamlaka kwa polisi kumlinda mtia nia wa CCM na siyo wale wa vyama vingine? Je, wale polisi wanaomlinda na magari ya serikali aliyopewa vinagharamiwa na CcM? Kama Sio Kumbe Police Wetu Nao Ni Green Guard? Naomba MAJIBU Mtatiro. Mimi ni A. L wa Geita. (Jina langu Lihifadhiwe).
Learned Counsel John Seka, Adv Mary Kallomo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment