-->
Home
/
siasa
/
MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA AJIVUA UWANACHAMA
MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA AJIVUA UWANACHAMA
Mh John Shibuda ameandika barua kamati kuu ya chadema ya kuomba kukoma kuwa mwanachama waChadema baada ya bunge hili kuvunjwa.
Kamatikuu ya Chama imeridhia na kumtakia safari njema,na mafanikio mema huko aendako.
SOURECE:JAMII FORUMS
0 comments :
Post a Comment