Iker Casillas alishindwa kuyazuia machozi wakati kipa huyo wa Hispania alipokuwa akiwaaga mashabiki wa Real Madrid Jumapili hii kabla ya kwenda kukamilisha usajili wake Porto ya Ureno. Casillas alijunga na academy ya Real Madrid mwaka 1990 na akawa na klabu hiyo kuanzia hapo na kuchangia ushindi wa mataji 18. Kipa huyo mwenye umri wa miaka 34 alikuwa kwenye hisia kali wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kwaajili ya kuaga rasmi ambopo mara kadhaa alishindwa kuongea kutokana na kuzongwa na machozi. Iker Casillas had to fight back the tears as he said goodbye to Real Madrid ahead of his move to Porto
Iker Casillas akishindwa kujizuia kumwaga chozi wakati akitoa mkono wa kwaheri Real Madrid akielekea Porto A tearful Casillas struggled to read a statement during the press conference on Sunday morning
Simanzi tupu
The 34-year-old thanked Madrid fans for their support and asked them to remember him as a 'good person'
Casillas amewashukuru mashabiki wa Real Madrid na kuwaomba wamkumbuke kama 'mtu mzuri'


The 34-year-old thanked Madrid fans for their support and asked them to remember him as a 'good person'

0 comments :
Post a Comment