
Baada
ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, kuingia ukumbini mjini
Dodoma mchana huu wakiongozwa na mwenyekiti wake Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete, viongozi wenzake, baadhi ya wajumbe wamesikika wakiimba
“Tunaimani na Lowassa”.
Endelea kufuatilia habari zetu.
0 comments :
Post a Comment