

TAARIFA ISIYO RASMI: MBUNGE WA NCCR AHAMIA ACT
Kuna taarifa kwamba Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini na Naibu Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Moses Machali, ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-WAZALENDO na kuachana na NCCR-MAGEUZI.
Machali amekuwa mmoja wa wabunge Machachari katika Bunge linalomaliza kipindi chake kwa tiketi ya NCCR na kabla hajawa mbunge aliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA
0 comments :
Post a Comment