-->

PATA HABARI KATIKA PICHA KUHUSU WATU WATATU WALIOKUFA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI


Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali walijitokeza na kusaidia zoezi la uokoaji kwa bahati mbaya wote walipatwa wakiwa wameshafariki 
Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana huu wamefariki dunia..
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment