WANANCHI
wenye hasira kali wakazi wa mtaa wa Mtwivila D katika Manispaa ya
Iringa wamemuua mtuhumiwa mwingine wa ujambazi aliyetambulika kwa jina
la Ayubu Mhema (31) msukuma mkokoteni mkazi wa Wangama mkoani Njombe
kwa tuhuma za wizi wa mali za wananchi wa eneo hiloTukio
hilo lilitokea leo majira ya saa 3 asubuhi baada ya mtuhumiwa
huyo kukamatwa akiwa na nguo zilizojaa ngunia moja ambazo aliziiba
katika nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo baada ya kuvunja mlang
Hapa mwili wa mtuhumiwa huyo ukishushwa kwa ajili ya kuhifadhiwa chumba cha maiti Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Irin |
0 comments :
Post a Comment