
na StarTimes ili kurushiwa
matangazo yake kwa mikoa sita.
Mikoa hiyo ni Dodoma, Morogoro,
Arusha, Mwanza, Mbeya, Dar es
Salaam.
Mkataba huo utagharimu Milioni Mia
Mbili ishirini na tatu na laki nane,
223,800,000/= kwa mwaka.
Mikoa mingine wanaweza kuipata
kwa njia ya Satelite.
Satellite...Intelsat 906 64 E
Frequency...4069
Symbol Rate...2500
Polarization...Vertical
Karibu sana TV Imaan elimu kwa
Umma.
0 comments :
Post a Comment