
Sasa ni mpambano wa Cuf na CCM Chalinze ni KOMANDOO Fabian .R. SIKAUKI ndio mteuliwa rasmi kugombea Jimbo la CHALINZE.
Naibu mkurugenzi wa HABARI na uenezi "KOMANDOO" Abdul KAMBAYA amesema chama chake kitatumia NGUVU zake zote kuhakikisha Jimbo hilo wanalichukua hasa ukizingatia ni NGOME yao kwa muda sasa.
Amewataka "MAKOMANDOO" wote wa MIKOA ya jilani kujiandaa kushiriki kazi ya kampeni na kusimamia kulinda kura za mgombea wa Cuf kwa gharama zozote ili HAKI itendeke.
0 comments :
Post a Comment