Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger
umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose
Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya
kutopoteza mechi katika dimba la Stamford Bridge katika mechi 76. Pia ushindi wa 6-0 ndio mkubwa kabisa kwa Jose Mourinho tangu alipokuja katika ligi kuu ya England.
0 comments :
Post a Comment