SHINDANO HILI HUFANYIKA KILA MWAKA NA WASHINDI WA KILA BARA HUPATIKANA,PIA HUWA KUNA WASHINDI WA VIPENGELE MBALI MBALI KAMA VILE DESIGNING PAMOJA NA VINGINEVYO.........HIVYO UKIWA KAMA MTANZANIA ULIEGUSWA NA HILI BASI UNAOMBWA NA BUSTANI YA HABARI KUWEZA KUIPENDEKEA BLOG HII KUSHIRIKI KWENYE SHINDANO HILO LA MWAKA 2014
NAMNA YA KUPENDEKEZA BLOG KWENYE SHINDANO HILO NI
BOFYA NENO WEBLOG AWARDS 2014 KISHA UTAFUNGUKA UKURASA HUO WA KUIPENDEKEZA BLOG KISHA INGIZA www.googlehabari.blogspot.com
KISHA ONGEZA NA URL ZINGINE MBILI ZA BLOG UNAZOZIPENDA
NATUMAI HAMTOTUTUPA MKONO KAMA VILE MLIVYOTUSAPOTI KWENYE TUZO ZA TANZANIA BLOG AWARDS,TULITANGAZE TAIFA LETU KWA JUHUDI ZETU ZOTE

SHUKRANI KWA KUIPENDEKEZA BLOG YETU MUNGU AKUJAZE MOYO WA IMANI
0 comments :
Post a Comment