Wananchi wa Scotland waliokuwa wakitaka kujitenga na Uingereza
wakiangua kilio huku walioshinda wakiwa na furaha baada ya matokeo
kutangazwa. MATOKEO ya kura za maoni nchini Scotland yametoka, kura
1,914, 187 sawa na 55% wamepinga kujienga na Uingereza huku kura 1,539,920 sawa na 45% wakitaka kujitenga.
Kwa matokeo hayo, Scotland itaendelea kuwa sehemu ya Uingereza na Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.
0 comments :
Post a Comment