-->

MTIZAME PANYA WA MIEZI TISA JINSI ALIVYOFUNZWA KUYAGUNDUA MABOMU NA WATAALAMU WA SUA

Wataalamu kutoka SUA wamekuwa wataalamu wa Mwanzo duniani kuwatumia panya kugundua mabomu yaliyofukiwa ardhini.
Panya hao hupewa maafunzo maalumu kuanzia wadogo mpka wanapokuwa wakubwa wankuwa na uwezo wa kugundua bomu lililofukiwa ardhini.
Serikali hughalimia gharama za malezi na mafunzo ya panya hao ambao huchukuliwa kwa mikataba maalumu na nchi za jirani na taifa kupokea mil 20 kwa panya mmoja.
Panya hao ambao hufahamika kama panya buku hupatikana zaidi mkoani Morogoro na kuna mikoa mingine panya hawa hawapo kabisa.
Video ya hapo juu inaonyesha siku ya maonyesho nane nane ambako mmiliki wa bustani ya habari alishuhudia mtaalamu kutoka SUA akifanya maonyesho live akiwatumia panya hao wenye mafunzo maalumu.
Bofya hiyo video hapo juu kuweza kutizama.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment