Chama cha ACT-TANZNIA kimeendelea kujichukulia umaarufu taratibu kwa kusambaa kwa kasi mithili ya sumu iliyomwaga kwenye anga.Chama hicho kipya ambacho beba wanachama wengi wa CHADEMA,CCM NA CUF.Kimeingia mkoani Morogoro kmya kimya na kadi zke zaanza kusambazwa katika maeneo mbali mbali.BUSTANI YA HABARI ilifanikiwa kushuhudia ugawaji wa kadi hizo za chama kipya ACT-TANZANIA katika eneol lililopo karibu na chuo kikuu cha kiislam morogoro linalofahamika TAHARIRI SQUARE..Hizi hapa chini picha za matukio ya ugawaji kadi pamoja na picha muonekano wa kadi ya chama hicho.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment