Mtu mmoja
amekamatwa na maofisa usalama wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
kwa tuhuma za kuwatapeli watu mbalimbali wakiwamo wagonjwa kwa kujifanya
ni daktari.
Akizungumza
na waandishi wa habari hospitalini hapo , Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa
MNH, Aminieli Eligaesha alisema kukamatwa kwa mtu huyo kunafuatia mtego
uliowekwa na uongozi wa hospitali baada ya kupata taarifa kutoka kwa
wasamaria wema juu ya vitendo vyake.
0 comments :
Post a Comment