Kumekuwa na limbi kubwa la matangazo yanayonadi kuwa ingiza pesa kwa urahisi kwa kujisajili na kusambaza ujumbe kama huo kuwashawishi wengine kujiunga na mitandao hiyo ili waweze kujiunga na mitandao hiyo. Mtandao unaoitwa ONLINETHREATALERT(OTA) uliandika chapisho maalumu la kuwahadhalisha watu dhidi mitandao hiyo mipya ya kuwaibia watu kupitia akaunti zao za benki.Ni hatari kwa mtu kujiunga na mitandao hiyo na kusambaza ujumbe wa mitandao hiyo kwani unaweza kujiingiza kwenye matatizo baada ya taarifa zako za msingi kuwa zimechukuliwa na wamiliki wa mitandao hiyo.Kwa mujibu wa OTA mitandao iliyowekwa hapa chini yoote ni feki na ipo kwa ajili ya kuwaibia watu wenye uchu wa kutajirika kwa haraka.- hxxp://www.visitpayment. com
- hxxp://www.YouthMonthlyPay. com
- hxxp://www.Pay4visits. com
- hxxp://www.getpaid4visits. com
- hxxp://www.thepaidtask. com
- hxxp://www.eachvisitpaid. com
- htxxp://www.EarningVisit. com
- hxxp://www.PayLinker. com
- hxxp://www.eachvisitpaid. com
- hxxp://www.50dollarjob. com
- hxxp://www.earn4family. com
- hxxp://www.apocketmoney. com
- hxxp://www.mystandardjob. com
- hxxp://www.getperfectjob. com
- hxxp://www.paybulb. com
- hxxp://www.assignpay. com
- hxxp://www.PocketMoneyJob. com
- hxxp://www.hiredpay. com
- hxxp://www.youthwealth. com
- hxxp://www.mytaskpay. com
- hxxp://www.timelyjob. com
- hxxp://www.Earn4Family. com
- hxxp://www.thewebjob. com
- hxxp://www.paynile. com
- hxxp://www.cashforvisits. com
- hxxp://www.theweeklypay. com
- hxxp://www.task2refer. com
- hxxp://www.taskwealth. com
- hxxp://www.dollarpertask. com
- hxxp://www.monthlyjobpay. com
- hxxp://www.payvilla. com
- hxxp://www.Jobofwork. com
- hxxp://www.MediaJobNet. com
- hxxp://www.VisitsToMoney .com/
- hxxp://www.parttimetask .com/
- hxxp://www.bigcashjob. com
- hxxp://www.2cashsite. com
- hxxp://www.getmonthlypay .com
- hxxp://www.earnbytask. com
- hxxp://www.ThePayBird .com
- hxxp://www.dollarpocketmoney .com
- hxxp://www.careerdollar .com
- hxxp://www.tasknjob .com/
- hxxp://internetduty .com/
OTA wametoa uthibisho wa kuonyesha kwamba website hizo ni feki kwa kuwaruhusu watu kufanya jaribio moja,Yaani katika mitandao kuna website ambazo ni secured(iliyosalama) na unsecured(isiyosalama).
Ili kuijua mitandao iliyosalama huwa inaanza na https:// na isiyosalama huwa haina "s" mwishoni yaani inakuwa http://.Fanya jaribio lako kwa mtandao ambao unaijitangaza kutoa mapesa nje nje kwa kuanza na https:// utaona inagoma kufunguka ujue huo ni mtandao feki na kaa mbali nao
SOURCE: ONLINETHREATALERT(OTA)
KUIBIWA NI BURE NA KUTOIBIWA NI BURE HIVYO MAAMUZI NI YAKO
Do you need a Loan?
ReplyDeleteAre you looking for Finance?
Are you looking for a Loan to enlarge your business?
I think you have come to the right place.
We offer Loans at low interest rate.
Interested people should please contact us on
For immediate response to your application, Kindly
reply to this emails below only.
Whats app +918256953815
mrwilliam751@gmail.com
Please, do provide us with the Following information if interested.
1) Full Name:………
2) Gender:………
3) Loan Amount Needed:………
4) Loan Duration:………
5) Country:………
6) Home Address:………
7) Mobile Number:………
8)Monthly Income:…………………
9)Occupation:………………………
)Which site did you here about us…………………
Thanks and Best Regards.
mrwilliam751@gmail.com
+918256953815