
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo

Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha

Mgombea wa
Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama
hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo
la Kalenga
0 comments :
Post a Comment