-->

ZINDUKA MTANZANIA MITANDAO HII NI YA HATARI HIVYO USIJIHUSHE NAYO

Earn 50 to 100 USD Daily Easy From Us Fake WebsitesKumekuwa na limbi kubwa la matangazo yanayonadi kuwa ingiza pesa kwa urahisi kwa kujisajili na kusambaza ujumbe kama huo kuwashawishi wengine kujiunga na mitandao hiyo ili waweze kujiunga na mitandao hiyo. Mtandao unaoitwa ONLINETHREATALERT(OTA) uliandika chapisho maalumu la kuwahadhalisha watu dhidi mitandao hiyo mipya ya kuwaibia watu kupitia akaunti zao za benki.Ni hatari kwa mtu kujiunga na mitandao hiyo na kusambaza ujumbe wa mitandao hiyo kwani unaweza kujiingiza kwenye matatizo baada ya taarifa zako za msingi kuwa zimechukuliwa na wamiliki wa mitandao hiyo.Kwa mujibu wa OTA mitandao iliyowekwa hapa chini yoote ni feki na ipo kwa ajili ya kuwaibia watu wenye uchu wa kutajirika kwa haraka.
  1. hxxp://www.visitpayment. com
  2. hxxp://www.YouthMonthlyPay. com
  3. hxxp://www.Pay4visits. com
  4. hxxp://www.getpaid4visits. com
  5. hxxp://www.thepaidtask. com
  6. hxxp://www.eachvisitpaid. com
  7. htxxp://www.EarningVisit. com
  8. hxxp://www.PayLinker. com
  9. hxxp://www.eachvisitpaid. com
  10. hxxp://www.50dollarjob. com
  11. hxxp://www.earn4family. com
  12. hxxp://www.apocketmoney. com
  13. hxxp://www.mystandardjob. com
  14. hxxp://www.getperfectjob. com
  15. hxxp://www.paybulb. com
  16. hxxp://www.assignpay. com
  17. hxxp://www.PocketMoneyJob. com
  18.  hxxp://www.hiredpay. com
  19. hxxp://www.youthwealth. com
  20. hxxp://www.mytaskpay. com
  21. hxxp://www.timelyjob. com
  22. hxxp://www.Earn4Family. com
  23. hxxp://www.thewebjob. com
  24. hxxp://www.paynile. com
  25. hxxp://www.cashforvisits. com
  26. hxxp://www.theweeklypay. com
  27. hxxp://www.task2refer. com
  28. hxxp://www.taskwealth. com
  29. hxxp://www.dollarpertask. com
  30. hxxp://www.monthlyjobpay. com
  31. hxxp://www.payvilla. com
  32. hxxp://www.Jobofwork. com
  33. hxxp://www.MediaJobNet. com
  34. hxxp://www.VisitsToMoney .com/
  35. hxxp://www.parttimetask .com/
  36. hxxp://www.bigcashjob. com
  37. hxxp://www.2cashsite. com
  38. hxxp://www.getmonthlypay .com
  39. hxxp://www.earnbytask. com
  40. hxxp://www.ThePayBird .com
  41. hxxp://www.dollarpocketmoney .com
  42. hxxp://www.careerdollar .com
  43. hxxp://www.tasknjob .com/
  44. hxxp://internetduty .com/
Ndugu wasomaji wa BUSTANI YA HABARI  ni vyema kutambua kwamba hakuna utafutaji wa pesa ambao utakuwa mwepesi kiasi cha mtu kujipatia pesa kirahisi rahisi tu kwa kujisajili na kuanza kuingiza pesa hivyo kila mmoja awe makini katika utafutaji asije akajiingiza matatizoni kwa ajili ya utafutaji mwepesi ambao unahatarisha maisha yake kwa siku za usoni.
OTA wametoa uthibisho wa kuonyesha kwamba website hizo ni feki kwa kuwaruhusu watu kufanya jaribio moja,Yaani katika mitandao kuna website ambazo ni secured(iliyosalama) na unsecured(isiyosalama).
Ili kuijua mitandao iliyosalama huwa inaanza na https:// na isiyosalama huwa haina "s" mwishoni yaani inakuwa http://.Fanya jaribio lako kwa mtandao ambao unaijitangaza kutoa mapesa nje nje kwa kuanza na https:// utaona inagoma kufunguka ujue huo ni mtandao feki na kaa mbali nao
SOURCE: ONLINETHREATALERT(OTA)
KUIBIWA NI BURE NA KUTOIBIWA NI BURE HIVYO MAAMUZI NI YAKO
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Do you need a Loan?
    Are you looking for Finance?
    Are you looking for a Loan to enlarge your business?
    I think you have come to the right place.
    We offer Loans at low interest rate.
    Interested people should please contact us on
    For immediate response to your application, Kindly
    reply to this emails below only.
    Whats app +918256953815
    mrwilliam751@gmail.com
    Please, do provide us with the Following information if interested.

    1) Full Name:………
    2) Gender:………
    3) Loan Amount Needed:………
    4) Loan Duration:………
    5) Country:………
    6) Home Address:………
    7) Mobile Number:………
    8)Monthly Income:…………………
    9)Occupation:………………………
    )Which site did you here about us…………………

    Thanks and Best Regards.
    mrwilliam751@gmail.com
    +918256953815

    ReplyDelete