Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Umoja wa
wakulima na matunda Zanzibar (UWAMWIMA), imetoa mafunzo kwa maofisa
ugani 50 hapa Zanzibar ili kuwawezesha kutumia huduma ya Z-Kilmo ya
Zantel. Huduma ya Z-Kilimo ya Zantel, inawawezewa wakulima nchini
Tanzania kupata taarifa za papo kwa papo na uhakika kuhusu njia za
kuendesha kilimo cha kisasa kwenye simu zao za mikononi.

Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa 'Baucha' akifungua mafunzo kwa wakulima wa mbogamboga na ufugaji, mradi wa Z-KILIMO katika kuwasaidia wateja wa Zantel.
Ofisa Biashara Mwandamizi wa Zantel, Ibrahim Attas akitoa maelekezo ya matumizi ya simu kwenye mafunzo maalumu yaliyoandaliwa na Zantel kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji jana.
Ofisa Biashara Mwandamizi wa Zantel, Ibrahim Attas akitoa mafunzo kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji jana.
Ofisa
wa Zantel (kushoto) akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo, wakulima
wa mbogamboga na wafugaji wa Zanzibar wakati wa mafunzo yaliyotolewa na
Zantel kwenye ofisi zake Amani mjini Zanzibar jana

Mkurugenzi wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa 'Baucha' akifungua mafunzo kwa wakulima wa mbogamboga na ufugaji, mradi wa Z-KILIMO katika kuwasaidia wateja wa Zantel.

Ofisa Biashara Mwandamizi wa Zantel, Ibrahim Attas akitoa maelekezo ya matumizi ya simu kwenye mafunzo maalumu yaliyoandaliwa na Zantel kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji jana.

Ofisa Biashara Mwandamizi wa Zantel, Ibrahim Attas akitoa mafunzo kwa wakulima wa mbogamboga na wafugaji jana.

0 comments :
Post a Comment