-->

HUYU NDIO NAIBU WAZIRI NA MAJI MH AMOS MAKALA AKIFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI NA WAHUDUMU WA IDARA

Naibu waziri wa maji Amos Makala akirekebisha kipaza sauti cha kisasa muda mfupi kabla ya kuongea na wafanyaka na wahudumu wa idara ya mamlaka ya maji Manispaa ya Morogoro wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya sekta ya maji mkoa wa Morogoro, alilazimika kutumia kipasa zauti baada ya eneo hilo kutokuwa na huduma hiyo ili aweze kila mtu kumsikia ama kusikia kinachozungumzwa na meza kuu. PICHA/MTANDA BLOG.

 Hapa inaonekana kuna jambo limemchanganya na kuwaita wasaidizi wake wamsaidie.
Huyu ni Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Halima Mbiru akitoa taarifa mbalimbali za miradi ya maji Manispaa
Sehemu ya Wafanyakazi

Baada ya mambo kwenda sawa, Makala alianza kwa kuongea na wafanyakazi huku kipaza sauti kikifanya kazi yake.
Makala akizungumza jambo katika mkutano huo kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Halima Mbiru na kulia ni Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Maji, Esther Lauwo. PICHA/MTANDA BLOG.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment