-->

HAYA NDIO MAMBO YA MBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD,ACHA MOROGORO WAJIVUNIE

 Kisima Kilichochimbwa kata ya Tungi kwajili ya Kutatua tatizo la Ukosefu wa maji katika kata hiyo.Ahadi hiyo imetekelezwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Aliyoitoa wakati akiomba idhaa ya Kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Jimbo Hilo.
 Mkazi wa Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro akichota maji katika kisima kilichochimbwa na Mbunge wa Jimbo Hilo
 Katibu wa Mbunge Akmtwisha Ndoo ya Maji Mkazi wa Kata ya Tungi

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment