
Amesema ukiwa CCM ukitofautiana na viongozi waliopo madarakani unaitwa si mwenzetu, ni wakala wa upinzani. Ukiwa CHADEMA ukitofautiana na viongozi unaitwa msaliti na kibaraka wa CCM.
Pia kasema nia yake ya kugombea urais ipo pale pale, ni kwamba aliahirisha na sio alifuta nia yake hiyo.
Mwisho kawaasa wanasiasa wote nchini kuuepuka mkono wa shetani.
Blogger Comment
Facebook Comment