YANGA YAREJEA BAABA YA KUTOONJA USHINDI UTURUKI
Yanga yarejea nchini Tanzania baada ya kutoonja radha ya ushindi nchini Uturuki,hali hii inatia shaka kwa mashabiki wa Yanga kwani mzunguko wa pili unatabiliwa kuwa mgumu kuliko ule wa mwanzo.Timu ya Azam ambayo imekuwa mwiba katika vilabu vikubwa vya Simba na Yanga imebashiliwa kuwa huenda wakawa mabingwa wapya wa kombe la ligi kuu bara.Yanga ambayo ilikuwa nchini Uturuki ilibahatika kupata sare moja na kupoteza michezo miwili dhidi ya timu za nchi hiyo ya Uturuki.
0 comments :
Post a Comment